Muziki
Song: Christian Bella – Hanitaki Tena
Sikiliza hapa ngoma mpya kutoka kwa Christian Bella, Hanitaki Tena. Ni wimbo wa tatu kutoka katika albam yake iitwayo “King of the best Melodies” itakayokuwa nyimbo nane. Ngoma ya kwanza ilikua ‘Usilie’ ft Banana Zorro na ya pili ni ‘Msaliti’.