Muziki

Song: Dady Dadyz – Midadi

Dady Dadyz ni kundi la muziki kutoka Mbeya lenye makazi yake jijini Arusha na Dar. Kundi hili linaundwa na wanamuziki wawili A2 na Solo 2. Huu ni wimbo wao wa pili baada ya kuachia wimbo ulioitwa, Mzuri.

Awamu hii wamekuja na Midadi uliofanyika katika studio za De Fatality na producer akiwa ni Mesen Selekta wakimshirikisha Tash.

Ni club banger, afro pop yenye love story ndani yake. “I am sure watu wata dance on it na kuenjoy,” alisema Solo mmoja wa member wa kundi hilo. Wimbo huu umezinduliwa rasmi kwenye nchi 4 ambazo ni Tanzania, Kenya, Botswana
na Ghana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents