Burudani

Stereo amshirikisha Victoria Kimani, wimbo unaitwa ‘Wako’ (I Will Never Let U Down)

Rapper Stereo aliye chini ya kampuni ya Unity Entertainment ya AY amefanya collabo yake ya kwanza ya kimataifa na msanii Victoria Kimani wa Kenya.

Stereo na Victoria Kimani
Stereo na Victoria Kimani

Stereo amesema collabo ya wimbo ‘Wako’ akiwa na Victoria inaweza kumuweka vizuri kimuziki katika ukanda wa Afrika Mashariki.

Stereo,Victoria Kimani na AY
Stereo,Victoria Kimani na AY

“Nimefanya collabo yangu ya kwanza ya kimataifa na Victoria Kimani nikiwa chini ya Unity Entertainment,AY ndio aliyoweza kuunganisha mpaka nikafanya hii collabo,@ Stereo ameiambia Bongo5. “Kwahiyo wimbo unaitwa Wako (I Will Never Let You Down) na umefanyika katika studio za Bongo Records na P.Funk Majani. Wadau wakae mkao wa kula.Collabo yangu na Victoria naona nimefanya au Unity Entertainment imefanya uamuzi mzuri ukiangalia Victoria ni msanii mkubwa Afrika, kwahiyo naona itaniweka zaidi kibiashara katika muziki wa Afrika Mashariki.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents