Mnyama TID, ametease video ya wimbo wake 'Raha' aliomshirikisha Profesa Jay. Video imefanywa na kampuni ya Fine Image Video Production itatoka wiki ijayo. http://youtu.be/dMHjm-nN98c