Muziki
Suma Mnazaleti avunja ukimya, aachia mbili kwa mpigo, DEDE na My Number One (Audio)
Msanii wa muziki, Suma Mnazaleti amevunja ukimya kwa kuachia nyimbo mbili kwa mpigo, DEDE na My Number One. Muimbaji huyo ambaye alikuwa kimya, amesema kwa sasa amejinga kuachia ngoma baada ya ngoma.
https://youtu.be/9M6Z93F0soI
https://youtu.be/ngGGoaiQvPU