Sura mpya ya Mchiriku

Sura mpya ya Mchiriku
Kama mageuzi ya muziki wa kizazi kipya kutoka
muonekano wa muziki wa kihuni hadi muziki ambao kwa sasa imekuwa ni
ajira rasmi kwa vijana kwa kuwa wengi wao wamefanikiwa kimaisha
kutokana na muziki huu, haina haja ya kuwataja msomaji kichwani unao
wengi tuu.

Muziki wa Mchiriku nao ukiutaja mtu anaona kama ni aina ya Muziki wa watu fulani kwenye jamii na huko wahuni wote utawakuta.

{seyretpic id=939 align=right} Mwanamuziki Dogo mfaume anauweka muziki huu kwenye chati nyingine baada ya kunyakua tuzo ya mwanamuziki bora Nyimbo za asili.

Ama kwa hakika mapokeo ya muziki huu yanaweza kuwa mkombozi kwa vijana
kwani yapo makundi mengi ya muziki huu na wengi wao ni wale wanatoka
familia za kawaida kabisa za wavuja jasho. Tunawapongeza waandazi
wa Kilimanjaro award kwa kutambua tabaka hili la muziki wetu na kuuweka
kwenye chati ya Tuzo zao.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents