Tamasha la Bongo Fleva

Taasisi ya taaluma za kiswahili Chuo kikuu cha Dar es salaam kinakuletea tamasha kubwa la Bongo Fleva linaloitwa Elimika na Bongo Fleva ikwa ni mchango wao katika kukuza muziki wa kizazi kipya. Ukiachana na burudani zitakazotoka kwa wasanii kama Afande Sele, Zay B, THT na wengine wengi, kutakuwa na maonyesho ya kazi za wasanii kama fulana, graffiti n.k kwenye mabanda yatakayowekwa maalum kwa shughuli hiyo. Pia kutazungumzwa mada mbalimbali, mgeni rasmi akiwa Prof. HJM Mwansoko wa Wizara ya Habari na utamaduni. Ishu nzima ni Jumamosi na Jumapili ijayo, kiingilio Bure

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents