Burudani

Tangu nimekuwa maarufu sijawahi kuachwa – Idris Sultan

Muigizaji Idris Sultan amedai tangu alipokuwa maarufu hajawahi kuachwa katika mahusiano.

Idris amesema ingawa si kitu ambacho anaweza kujivunia ila kinatokana na msimamo wake katika mahusiano.

“Tangu nimekuwa maarufu sijawahi kuachwa ila kabla sijawa maarufu nimewahi kuachwa mara tatu and am not proud kusema walirudi na sikukubali kwa sababu nina msimamo, huwaga sisemi it’s over kwenye relationship huwa naiacha, nikisema it’s over, utuje it’s,” Idris ameiambia EATV.

Umaarufu mkubwa wa Idriss ilikuwa mara baada ya kushinda katika shindano la Big Brother Africa mwaka 2014 na kuweza kujinyakulia kitita cha $300,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 514 za Tanzania.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents