Habari

Tanzania ni nchi ya pili Afrika ambayo uchumi wake unakua kwa kasi – IMF

Shirika la fedha duniani, IMF, limeitaja Tanzania kama nchi ya pili Afrika ambayo uchumi wake unakua kwa kasi.

kig11
Daraja la Kigamboni

Kwa ukuaji wa asilimia 6.9, Tanzania ipo chini ya Ivory Coast yenye asimilia 8.5. Tanzania itaendelea kufanya vizuri kutokana na kuongezeka kwa uwekezaji hasa kwenye mafuta na gesi pamoja na maboresho ya miundombinu na kuifanya kuwa sehemu muhimu ya usafirishaji Afrika.

Hii ni orodha rasmi:

1 Cote D’Ivoire 8.5%
2 Tanzania 6.9%
3 Senegal 6.6%
4 Djibouti 6.5%
5 Rwanda 6.3%
6 Kenya 6.0%
7 Mozambique 6.0%
8 Central African Republic 5.7%
9 Sierra Leone 5.3%
10 Uganda 5.3%

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents