Michezo

TFF yatoa ratiba ya ligi kuu VPL

Simba Sc, hii leo itajitupa uwanjani kuiva Chama la wana klabu ya Stand United katika michuano ya Ligi kuu soka Tanzania Bara mcezo utakao pigwa katika Dimba la Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam jioni ya leo.

klabu ya wana ramba ramba Azam Fc watakuwa wenyeji wa klabu ya Toto Africans mchezo utakao pigwa kando kando ya mji huko  Azam Complex, Chamazi,.

Na hapo kesho klabu ya Yanga itakuwa kibaruani kumenyana na timu ya jiji klabu ya Mbeya City, Mtibwa Sugar wataakuwa wenyeji wa Mwadui FC Uwanja wa Manungu, Turiani, Morogoro.
Mechi nyingine za kesho ni kati ya Tanzania Prisons na Ndanda Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya na Jumapili African Lyon itamenyana na Ruvu Shooting. JKT Ruvu na Maji Maji ya Songea Uwanja wa Maji Maji,

BY HAMZA FUMO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents