Burudani ya Michezo Live

TID afunguka kuhusu taarifa zinazosemekana kuwa wasanii walioenda Kigoma kumsapoti Dimaond hawajalipwa – Video

TID afunguka kuhusu taarifa zinazosemekana kuwa wasanii walioenda Kigoma kumsapoti Dimaond hawajalipwa - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @tidmusic Mnyama amefunguka kuhusu maneno yaliyokuwa yanasambaa kuwa wasanii wote waliomsindikiza Diamond kwenda Kigoma hawakulipwa.

Mbali na hilo TID sameeleza mipango yake kwamba anataka kufanya Annivensary ya miaka 19 kwenye muziki wake kama alivyofanya @diamondplatnumz Kigoma lakini yeye ataifanyia Dar Es salaam sehemu alipozaliwa, Pia amezungumzia kipaji cha msanii chipukizi wa Kike ambaye ni mtoto wa Mtangazaji wa Clouds Fm Gadna @malkiakaren na kusema atafika mbali sana kwani ana kipaji cha kipekee sana.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW