Michezo

Timu ya Alikiba yakubali kichapo cha goli 4, zigo la lawama atupiwa Mpoki (Video)

Mechi ya hisani kati ya muimbaji wa muziki wa kizazi kipya Alikiba na mchezaji wa klabu ya Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta imemalizika kwa timu ya Kiba kukubali kipigo cha goli 4-2 huku muimbaji huyo akikosa penati ambayo ilipatikana katika kipindi cha pili.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents