DStv Inogilee!

Tumemmisi sana Ommy Dimpoz Tumuombee arudi katika hali yake ya kawaida – Nedy Music

Tumemmisi sana Ommy Dimpoz Tumuombee arudi katika hali yake ya kawaida - Nedy Music

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka visiwani Pemba Said Seif ambaye ni mmoja wa wasanii wanaokuja vizuri katika muziki wa kizazi kipya ambaye jina lake maarufu ni Nedy Music. Huyu ni msanii anayewakilisha kundi la Pose kwa Pose (PKP) linalomilikiwa na mkali wa mapozi, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz.

Nedy amefunguka mengi kuhusiana na kazi yake ya Muziki wakati ameenda kuutambulisha wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la  “Homa la Jiji” katika kituo cha habari cha Clouds Fm.

Nendy ameseama baada ya kuulizwa kuhusu kupungukiwa na kitu chochote baada ya Boss wake Ommy Dimpoz kuumwa kwa muda kidgo akiwa katika matibabu nchini Afrika Kusini.

Nedy amesema:Kukosekana kwa Ommy Dimpoz kimuziki kiukweli hakuniaffect kivyovyote na ndo mana unakuta leo nimekuja kutambulisha wimbo,lakini Ommy akiwa katika kaka ni mtu ambaye anahitajika sana katika tasnia hii ya muziki wa BongoFleva,minafikiri sio mimi tu ambaye nimemmis bali kila mmoja amemmis sana cha msingi ni kumuombea kwa Mwenyezimungu ili arusi katika hali yake ya kawaida”

 

By Ally Juma

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW