Michezo

Udanganyifu katika mchezo wa tennis wabainika

Uchunguzi uliofanywa na shirika la BBC na mtandao wa Buzz Feed, umebainisha kuwepo kwa ushahidi wa udanganyifu na kupanga matokeo ya mechi katika mashindano ya tenisi duniani ikiwemo shindano la Wimbledon.

160118031207_tenis_pelota_640x360_getty_nocredit

Kuna nyaraka za siri zimeonyesha kuwa katika muongo mmoja uliopita wachezaji kumi na sita wametambuliwa na maafisa wanaosimamia mchezo huo kwa hofu ya kukubali kushindwa kwa hiari.

Lakini Idara ya kupambana na ufisadi ya mchezo huo imesema imekuwa ikichukua hatua kali dhidi ya dalili zozote za kupanga matokeo na ufisadi unaohusiana na mchezo wa kamari.

Hii inatokana na matokeo ya uchunguzi yaliyoanzisha mwaka 2007 na Chama cha Wataalamu tenisi cha (ATP).

Source: BBC

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents