Burudani

Ukweli kuhusu Bodyguard wa Diamond kupata ajali na kupasuka kichwa, ndugu yake aeleza (+video )

Baada ya Bodyguard wa Msanii, Diamond Platnumz, Mwarabu Fighter kwenye page yake kuandika kuwa amepata ajali mbaya sana na amepasuka kichwani. Bongo5 ilimtafuta Mwarabu Fighter kwa kupiga simu yake na simu yake ilipokea na rafiki yake aliyejitambulisha kwa jina la Abdul amesema kuwa ni kweli mwarabu amepata ajali na amepasuka kichwa kwa upande wa kulia na kwasasa wapo Muhimbili anafanyiwa ushonaji.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents