Burudani
Video: Weusi waichambua Mdundiko, Jay Z na Beyoncé ndani
Kundi la muziki wa hip hop Bongo, Weusi wakipiga stori na Bongo5 wameichambua ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la Mdundiko. Katika uchambuzi wao wamejikuta wakiwataja wasanii wa nje kama J Cole, Trey Songz, Jay Z na Beyoncé.