Mitindo

Urembo wa pete unavyopendezesha vidole vya wadada

Katika ulimwengu wa mitindo lazima tukubali kuwa inasaidia kutufundisha na kutupa maujuzi mbalimbali, nakukaribisha katika ulimwengu wa mitindo na leo nakuleta habari kuhusu urembo wa kuvaa pete.

Miaka kadhaa iliyopita ilikuwa ukimuona mtu amevaa pete basi unajua huyu anakaribia kuolewa au ameshaolewa, ila kwa ssa kuvaa pete za urembo zenye nakshi nakshi ni kitu cha kawaida na huvutia vidole vya mtu husika.

Pete hizi zipo tofauti tofauti zingine zinakuwa na herufi za jina la mtu na zingine zinakuwa plain na zipo za vito.

UNAVAAJE:

Ukitaka ubvae pete hizo basi hakikisha una pete zaidi ya tatu zenye mionekano tofauti,  kisa vaa katika vidole vyako. Pete  yenye herufu ya jina vaa kidole cha kati ili kuvutia zaidi.


Kwa pete zingine unaweza kuvaa katika vidole tofauti.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents