AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Utapenda alichokifanya msanii mchanga Yayah Prince kwenye wimbo wake ‘Chuchumaa’

Msanii mpya wa muziki wa BongoFleva, Yayah Prince wiki hii ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Chuchumaa’. Muimbaji huyo ambaye anaonekana kuwa na uwezo mkubwa wa kuandika na kuimba, huwenda akaja kuwa tishio kwa siku za usoni kama aendelea kufanya hiki anachokifanya.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW