Soka saa 24!

Uzinduzi wa dawa mpya ya Malaria

Sultani_Kingi_Zenji_kuagana_face_2

MWANAMUZIKI bora aliyetwaa tuzo mbili Zanzibar katika Zenji Fleva, alichukua tuzo za mwanamuziki bora wa mwaka na wimbo bora wa mwaka kwa upande wa Zanzibar Sultan King, akiwa wapa mkono mgeni rasmi katibu mkuu wa wizara ya Afya M . Salehe Udawi na baadhi ya viongozi walioudhuria katika tamsha la ufunguzi wa dawa za MALARI kwa bei nafuu katika maduka na Hospitali Binafsi kwa Zanzibar tu katika viwanja vya kufanyia mikutano Matumbaku.

 

Katika uzinduzi wasanii mbalimbali, walikuwepo kwaajili ya kuunga mkono .

Sultani_King_zenji_magoti

Hapa mwanamuziki Sultani King akiimba kwa hisia.

Baby_J_Zenji

Baby J naye alikuwepo kwaajili ya kutoa Show ya nguvu na madensa wake, naye aliweza kuwashika vizuri tu.

Zenji_Dodo_na_Halima

Hlima na Dodo wakiimba mashairi yaliyokuwa yakiamasisha watu kwendfa kupima na kutumia dozi kwa ukamilifu, pia kuwatoa hofu na mashaka juu ya dawa hizo.

Zenji_Marelia

Kikundi cha sanaa cha Maisha Huru Group cha Zanzibar nacho kilitoa igizo fupi, lenye kutoa elimu juu ya utumizi sahihi wa dawa za MALARIA, na mama mjamzito kuwahi Hospitali pindi tu anapohisi homa.

Sultani_King_Zenji

Sultan Kingi akiimba juu ya jukwaa

Sultani_King_Group

Wasanii mbalimbali wa Zenji Fleva, wakati bara wanaita Bongo Fleva na hapa wakisubiri kupanda jukwaani akiwemo na Sultani King

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW