Michezo

Video- Afya ya Kiungo wa Azam FC yaimarika

Kiungo nyota wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Frank Domayo ‘Chumvi’, hivi sasa hali yake inaendelea vema baada ya kupata majeraha ya nyama za nyuma ya paja kwenye mchezo uliopita dhidi ya Mbao, ambapo ameendelea kuwa chini ya uangalizi wa daktari wa viungo, Dr. Vincent

https://www.facebook.com/azamfc/videos/1625650217475328/

BY HAMZA FUMO.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents