MichezoUncategorized

Video: Alikiba alidharau uwezo wangu, sasa moto wangu wameuona – Joti

Msemaji wa timu ya Mbwana Samatta, Joti amedai sio kweli kwamba alimtosa Alikiba na kuamua kujiunga na team Samatta kama baadhi ya watu wanavyodai. Mchekeshaji huyo amedai muimbaji huyo wa Aje alionekana kudharau uwezo wake ndio maana lilivyotokea deal la Samatta akalichangamkia.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents