Burudani

Video: Chris Brown ampigia simu ex-wake Karrueche Tran akiwa jela, na kumpa ujumbe wa mashabiki wake

Wapenzi wa ‘on and off’ Chris Brown na Karrueche Tran wanaendelea kuwasiliana pamoja na kuwa hivi karibuni mrembo huyo alimpiga kibuti Breezy baada ya kugundua alikuwa na mawasiliano na wasichana wengine kabla hajatimuliwa Rehab.

Chris-Brown-Fashion-Style-2013

Usiku wa jana Karrueche kupitia Instagram alithibitisha kuwa licha ya kuwa hawako pamoja (kama ndivyo ilivyo hadi sasa), lakini bado wanaendelea kuwasiliana hasa katika kipindi hiki cha misukosuko aliyonayo Breezy.

Karrueche alirekodi simu ya Chris wakati akitoa ujumbe wake kwa mashabiki wake huku Karrueche akitabasamu, haya ndiyo maneno aliyoyazungumza Chris:

“Napiga simu kwa mashabiki wangu wote, kuwajulisha kuwa nawapenda wote, asanteni kwa support yenu. Asanteni kwa kila kitu. Video imetoka naamini mmeifurahia. Na cha muhimu zaidi, K Karrueche, nakupenda”. Alisema Chris

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents