Burudani

Video : Daz Baba adai alikuwa Injinia na alienda jeshini

Msanii wa Hip Hop Bongo Daz Baba ametaja sababu za yeye kutosikika kwenye game ya muziki.

Akipiga stori na Bongo5 katika tamasha la Heshima ya Bongo Flava liloandaliwa na EA Radio amesema kuwa alikuwa haonekani kutokana na kufanya kazi kama Injinia katika chuo cha sanaa Bagamoyo pamoja na kwenda Jeshini.

“Mimi nilikuwa Injinia wa muziki Bagamoyo, pia nilikuwa nikifanya kazi Jeshini sema watu walikuwa hawajui, nikawa nafikiria mbona watu wanaongea maneno ya uongo wakati kuna ukweli ndio maana mimi nikaamua kukaa kimya tu,” amesama Daz Baba.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents