Video: DC kijana, Zainab amlilia Messi World Cup “timu za Afrika zinahitaji uwekezaji”

Mkuu wa Wilaya wa Pangani Zainab Abdalah ambaye ni Mkuu wa Wilaya kijana kuliko wote Tanzania, amefunguka kuzungumzia Kombe la Dunia bila Messi baada ya Argentina kuondolewa na Ufaransa katika hatua ya 16 bora. DC amesema nchi za Afrika zimefanya vibaya zaidi kutokana kutokuwa na maandalizi mazuri tofauti na nchi za Ulaya.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW