Burudani

Video: Dudubaya amjibu Balozi Mongella ‘wanaume wa sasa hawajui kutongoza vizuri’

Wiki iliyopita Balozi Getrude Mongella alisema vitendo vya ubakaji kwa watoto vinaongezeka ni kutokana na baadhi ya wanaume kutokujua kutongoza vizuri. Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Flava, Dudubaya ameamua kumjiwa kiongozi huyo kupitia mahojiano aliyofanya na Bongo5. Tazama video hiyo hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents