Burudani

Video: Kupitia ‘Sema’ Ebitoke adai atafukuzia Black Panther & Hollywood

Mchekeshaji kutoka kundi la Timamu, Ebitoke amesema filamu yao mpya ‘Sema’ ambayo ipo mbioni kutoka anatarajia itafika mbali zaidi na kuweka rekodi mbali mbali kutokana na ukubwa wake ndio sababu hata ya kuamua kwenda kuizindulia nchini Kenya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents