Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Video: Lil Wayne na Birdman walivyokutana Club

Baada ya mvutano wa muda mrefu huenda beef kati ya Lil Wayne na Birdman lipo mbioni kumalizika.

Kwa mujibu wa TMZ Lil Wayne na Birdman walikutana katika eneo la VIP Miami’s Club siku ya Jumapili usiku (March 11) ambapo waliishia kusalimiana.

Chanzo cha beef la wawili hao ni kuhusu Album ya Lil Wayne  ‘Tha carter V’ ambayo haikutoka kitu kilichopelekea Lil Wayne kufungua kesi dhidi ya Cash Money Records mwaka 2015.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW