Burudani

Video: Mauno ya Alicios yawapagawisha wapendanao katika Valentine Day na Lady Jaydee

Msanii Alicios kutoka Congo DRC ambaye anafanya kazi zake za muziki nchini Kenya usiku wa kuamkia leo katika show ya Lady Jaydee ‘Valentine Day na Lady Jaydee’ ametoa burudani ya uhakika.Uchezaji wake katika jukwaa haukuwa wa kawaida. Mtazame hapa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents