Burudani ya Michezo Live

Video mpya ya ‘Sugua’ Jux na Diamond Platnumz wanyoshana kwenye ubunifu wa mavazi – Video

Jux na Diamond Platnumz wanyoshana kwenye ubunifu wa mavazi kwenye video ya wimbo wa ‘Sugua’ – Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, JUX ameachia video ya wimbo wake aliomshirikisha C.E.O wa WCB Diamond Platnumz na kwenye video hiyo Jux na Diamond wameonyesha ubunifu wa mavazi sana.

Wimbo huo umefanya na Director Kenny aliyochini ya Zoom Production inayosimamiwa na Diamond huku audio ikifanya na S2kizy alimaarufu Zombie.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW