Burudani

Video: Mrembo wa Rwanda afunguka mahusiano yake na Diamond, amtaja Wema Sepetu

Mwanamitindo na ‘Video Vixen’ kutoka Rwanda, Shaddy Boo amekanusha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii wa Bongo Fleva, Diamond Pltnumz kama watu wengi wanavyozungumza huku akikiri kuwa na urafiki naye.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents