Burudani
Video: Mwana FA aeleza kifuatacho wiki chache zijazo kutoka kwake
Tulipata nafasi ya kuzungumza machache na Hamis Mwinjuma aka Mwana FA kwenye Zari All White Party Mlimani City Ijumaa hii. Msikilize hapa akiongelea kinachofuata.