Burudani
Video: Ngoma za Alikiba na Diamond zilivyopitiwa na Atan
Msanii Atanx ambaye anafanya kazi zake kupitia Work ethic ya Wakazi ameeleza jinsi alivyoshirikiana na Wakazi na kuweza kutoka refix ya ngoma ‘Seduce Me’ ya Alikiba na Hallelujah ya Diamond. Msikilize hapa.