Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Video: Nikki wa Pili azichambua Brazil, Nigeria na Senegal kuelekea Kombe la Dunia 2018

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo kutoka kundi la Weusi, Nikki wa Pili amesema katika michuano ya Kombe la Dunia 2018 ana imani timu ya taifa ya Brazil itanyakua kombe hilo, huku akitabiria timu za taifa za Senegal na Nigeria kufika mbali zaidi.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW