Muziki
Video: Seneta Seneta Ft Country boy & Foby – Bata
Msanii wa muziki Seneta Seneta ameachia video ya wimbo wake mpya Bata akiwa amewashirikisha rapa Country Boy pamoja na muimbaji Foby.
https://www.instagram.com/p/Bz7XVg5HGWS/
Unaweza kuangalia video ya wimbo Bata hapa