DStv Inogilee!

VIDEO: TID awakemea wanaoharibu muziki wetu “Waache kutoa muziki unaofanana fanana”

VIDEO: TID awakemea wanaoharibu muziki wetu "Waache kutoa muziki unaofanana fanana"

Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Khalid Mohamed a.k.a Tid amewakemea vikali baadhi ya wasanii wanaotoa muziki wa kufanana fanana maana wanauharibu muziki wetu.

Msanii huyo amefunguka hayo wakati anapiga stori na Bongo 5 kuhusiana na nyimbo yake mpya ya Washa ambayo amemshirikisha Kasimu Mganga.

hii ndio kauli ya Tid:-

TID ameachia nyimbo yake mpya akishirikiana na Kasimu mganga inayojulikana kama Washa.

 

By Ally Juma.

Related Articles

3 Comments

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW