Muziki

Video :Tyga -Eyes Closed

By  | 

Rapa Tyga ameachia video yake mpya iitwayo ‘Eyes Closed” hii ni single yake inatotoka katika mixtape yake iitwayo Bitch I’m the Shit 2. Video ya nyimbo hiyo imeshotiwa China na Los Angels-Marekani.

Na Laila Sued

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments