Habari
Video: Wabunge Lema na Nassari watinga TAKUKURU Dar kuishtaki CCM
Mbunge wa Arusha mjini na mbunge wa Arumeru Mashariki ,wamewasili TAKUKURU Dar es salaam kuleta ushahidi wa awali wa wabunge wa chadema waliohamia CCM kwa madai ya kununuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM).