Habari

Video: Waendesha bodaboda wapinga maandamano, watua polisi kutoa msimamo wao

Viongozi wa vyama vya waendesha bodaboda Katika Mkoa wa Dar es Salaam, leo Jumatano wametua kwenye ofisi za Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kuhusu kutoa msimamo wao juu ya vuguvugu la maandamano ambayo hayatambuliki kisheria na jeshi hilo wala serikali.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents