Burudani
Video: Waziri Mwakyembye ashtukia wanao tafsiri filamu za nje
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe amesema kuwa kwa sasa kumeingia mchezo wa filamu za nje kuingiza tafsiri ya lugha ya Kiswahili swala ambalo hakuna uhalali pasipo ushiriki wa muhusika.