Video: Weusi wakonga nyoyo za mashabiki uzinduzi wa vipindi vya Dstv 

Video: Weusi wakonga nyoyo za mashabiki uzinduzi wa vipindi vya Dstv 

Wasanii wa muziki wa hip hop Bongo kutoka kundi la Weusi, Nikki wa Pili, Joh Makini na G Nako wamekonga nyoyo za mashabiki usiku wa leo wakati wa uzinduzi wa vipindi vya Harusi yetu na Huba vinavyorushwa na Kampuni ya DSTV.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW