Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Video: Willy Paul aeleza sababu za kuwatosa Huddah na Vera kisa mrembo wa video ya Rayvanny

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Willy Paul, amefunguka sababu za kumtumia mrembo Irene ambaye amewahi kutokea kwenye video ya Rayvann ‘Kwetu’, kwenye video yake mpya ‘Malingo’ na kuwatosa warembo wengine wa Kenya kama akiwemo Huddah Monroe, Vera Sidika na wengine.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW