Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Video ya ‘Ntakufilisi’ ya Queen Darleen yatoweka YouTube

Nini kimeikuta video ya wimbo wa ‘Ntakufilisi’ ya Queen Darleen?

Video hiyo ambayo imetoka wiki iliyopita kwenye mtandao wa YouTube na kuanza kufanya vizuri mpaka kushika namba mbili ya video zinazotrend, kwa sasa imeonekana kufutika katika mtandao huo.

Hata hivyo Bongo5 imejaribu kumtafuta Babu Tale ambaye ni mmoja wa viongozi wa lebo ya WCB, amesema yeye hafahamu tatizo hilo kwa kuwa kuna watu wao wa IT ambao ndio wanashughulikia suala hilo.

Leave a comment

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW