[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=cmexB1oeP1Y[/youtube]
Mkongwe, Meneja wa Tmk Wanaume na bendi ya Mkubwa na Wanawe Saidi Fella, video yake tayari ipo hewani.. Hebu angalia mkubwa anapokuwa ndani ya video ya taarabu ya Kisono sonona, akiwa na Hassan Kumbi…