Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Video: Young Killer ajiunga na Wanene Entertainment

Leo, April 13, 2018 msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Young Killer ametangaza rasmi kujiunga na label ya Wanene Entertainment ambayo pia inamsimamia msanii Chin Bees. Msikilize hapa.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW