Habari

Viongozi wa dunia kukutana kwenye mkutano UN Jumanne hii

Viongozi wa dunia Jumanne hii wanakutana kwenye mkutano wa mwaka wa Umoja wa Mataifa kujadili masuala muhimu yanayohitaji suluhu.

barack-obama-and-ban-ki-moon-frederic-legrand-shutterstock-dot-com-600x330

Miongoni mwa masuala muhimu yatakayojadiliwa ni pamoja na mgogoro wa Syria, kuongezeka kwa mashambulio duniani ya kundi la ISIS, vita na umaskini. Mkutano huo utakutanisha viongozi wakuu wa nchi 135 pamoja na mawaziri 50. Utamalizika Sept. 26.

Katika Mkuu wa umoja huo, Ban Ki-moon anayemaliza muda wake Dec. 31, na Rais wa Marekani, Barack Obama anayemalizia muda wake mwaka huu, watahutubia umoja huo wenye wanachama 193 kwa mara ya mwisho.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents