Michezo

Wachezaji wasiopimwa afya marufuku viwanjani – TFF

Wachezaji ambao hawatathibitishwa afya zao hawataruhusiwa kucheza katika ligi kuu Tanzania Bara, ligi daraja la kwanza pamoja na ligi daraja la kwanza msimu ujao wa 2017/18

Tokeo la picha la Shirikisho la mpira wa miguu

Makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

Katazo hilo ni kwa mujibu wa mabadiliko ya kanuni za ligi hiyo yaliyofanywa na kamati ya utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) katika kikao chake cha Julai 30 mwaka huu, ambacho pia kilipitisha mambo mbalimbali.

By Hamza Fumo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents