Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Burudani

Wakenya waponda show ya Burna Boy, Anto NeoSoul amuita ‘diva’

By  | 

Msanii wa Nigeria, Burna Boy alitumbuiza mwishoni mwa wiki kwenye klabu moja huko jijini Nairobi Kenya, lakini hakufanikiwa kuzikonga nyoyo za waliohudhuria.

Wengi wamesema kuwa Burna Boy ni msanii butu na mwenye pozi nyingi kama mwanamke.

Muimbaji wa Kenya, Anto NeoSoul hakufurahishwa pia na show hiyo na kuamua kuandika, “Yesterday H_ART The Band shut down Alchemist as Burna Boy waltzed in to a club at 4AM. That brand should have supported HART THE BAND.”

Kwenye post nyingine aliandika, “You wanna bring in Burna Boy to perform at top dollar yet there’s many Kenyan artistes who could perform way better than that “diva”.

Hata hivyo Burna Boy naye alijibu mapigo kwa kuwatukana wakenya waliomshambulia.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW