Wanasiasa wanaokaa chama kimoja kwa muda mrefu bila kuhama ni ‘Manungayembe’ – Mwita Waitara
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Ukonga kwa tiketi ya CHADEMA, Mwita Waitara amedai kuwa wanasiasa wanaong’ang’ania kukaa kwenye chama kimoja kwa muda mrefu hao ni Manungayembe’.
Waitara amesema kuwa ukiona mwanasiasa kwa miaka yote haoni mafanikio wala maendeleo kwa kupinga kila kiongozi anayeingia madarakani basi ujue huyo ni Nungayembe.
Akifafanua kauli hiyo kwenye kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Mwita amesema kuwa kuna viongozi kuanzia awamu ya Mwinyi walikuwa wanaipinga serikali, awamu ya Mkapa hivyo hivyo, awamu ya Kikwete wanapinga na ya Rais Magufuli wanapinga tu ujue hao ni Manungayembe kwani mwanasiasa wa kweli ni lazima abadilike kuendana na mazingira.
Hata hivyo, kauli hiyo haijaeleweka kuwa amemulenga nani. Mwita alijiengua CHADEMA na kutangaza kujiunga Chama tawala cha CCM kwa kudai kuwa anaunga mkono juhudi za Rais Magufuli.
Mwita pia ameteuliwa na Kamati Kuu ya Halmashauri ya Taifa ya CCM kugombea Ubunge kwenye jimbo hilo la Ukonga na ameahidi kuchukua jimbo hilo kwa kishindo akidai kuwa anakubalika na wananchi wa jimbo hilo wameanza kukielewa Chama cha Mapinduzi.
tokea igunga mjini tupo pamoja sana mpakatamati yakipindi
We mwizi hunalolote
Unamaanisha nini??
unamaanisha huko pia utahama mwe mwehu aseee
Kwa hiyo.hata mheshimiwa ni mmoja kati ya hao manunga embe?
Njaa yakubebea kichwani meng utaya lopoka
😂😂😂😂😂duuuuuu 😜
Kichwa maji hilo jamaa
Anagonywa
Katapin uyue
Unajiskiaje mwanaume unapo ambiwa umenunuliwa.
Nadhani ubongo wake umetikisika kidogo
Hili ni bwege halijui litendalo oo
kutiana hasala t hama kbl ya uchaguzi mnatumia pesa za wananchi kwa kujifrahisha nyinyi
Kuna mambo yanaweza yakakufanya utafute njia ya kutoweka duniani ili hv vitu vikupite, afu unapata jibu ni kifo pekee bhas unabaki unashika tama maana dah kifo nacho!🙏, Au tungekuwa tunaishi kama movie ningesha rewind zamani,afu ningeedit mwl nyerere angekuwa mfalme angekuwa anarithisha ukoo wake tu kuliko haya majanga
Afu mbona wamehama wengi, weñzie waliongea mara moja siku ya kuhama then wakapiga kimya. Kulikoni yy kila siku yuko kwa media? Mkurya wa type gani huyu! au ndo wale rais alisemaga “wastaafu wengine wanawashwa washwa”
Mbona anatukana viongozi wakuu huyo wapo chamani tng chupukizi mpk wanakuja kwenye uprezoo wapo chama kimoja
Kuna mijitu ni MIJINGA mno!
Choko ilo halina lolote
Kwahiyo unataka CCM muachwe nyie
kuna kula ukashiba ukafanya kufuru,
Alafu chadema walikuwaga wanaona wajinga kama hawa ni bora zaidi ya Zitto kwa mtazamo wangu vitu vingine vinavyotokea KARMA inaplay it’s part
Hayo nimatusi ili kupata unga wala sio vingine
Duuh! jamaa kawa punguan jaman