Burudani

Watu wamemfahamu ZaiiD kupitia ngoma moja, Wowowo – P The Mc (+video)

Rapper P The Mc amesema hit song ya ZaiiD ‘Wowowo’ imemfanya kujulikana zaidi ingawa kuna ngoma nyingi sana alizokwisha kuzitoa hapo awali.

Pia P The MC amefunguka sababu ya kufanya show nyingi za ZaiiD kwa sasa.

“Kwanza wanatakiwa wajue ZaiiD na P The Mc ni familia, tumetoka mbali sana, tuna mix tape ina miziki zaidi ya 21 lakini watu wamemfahamu ZaiiD kwa wimbo mmoja Wowowo, so mara nyingi nakuwa za ZaiiD kumpa backup ya Wowowo na wakati huo huo ni kuitengenezea Wowowo flow ya vitu vyetu kabla hatujaifikia yenyewe,” amesema.

ZaiiD na P The Mc kwa pamoja walishotoa mix tap waliyoipa jina la Mwenge Kiwalani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents