Michezo

Wayne Rooney na mkewe wapata mtoto kiume

Nahodha wa klabu ya Manchester United ya Uingereza Wayne Rooney na mkewe Coleen wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume ambaye wamempa jina la Kit Joseph Roone.

kit-wazza1

Mwanasoka huyo alitangaza kuzaliwa kwa mtoto huyo Jumapili usiku kupitia mtandao wa Twitter.

Rooney mkewe Coleen tayari wana watoto wawili wa kiume, Kai mwenye umri wa miaka sita na Klay mwenye umri wa miaka miwili.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents